Mazao maarufu yanayouzwa

Tango

East-West Seed imeteka soko la Afrika kwa kuleta Tango lenye ukijani mzuri na refu.Greengo F1 na Monalisa F1 ni aina za matango zinazo julikana sana kwa wakulima wengi kwa sifa zake hasa za kukomaa mapema,kuwa na rangi nzuri ya kijani ya kuvutia na uwezo wake mzuri wa kutafunika. East-West Seed inaendelea kuzingatia katika kuzalisha aina […]

Read more >
Papai

East-west seed imeteka soko na mbegu chotara ambazo ni mbegu fupi na zenye uzao mkubwa na radha tamu. Aina ya Red Royale F1, Sinta F1 na Maradona F1 ni nyota katika soko letu la Afrika. Red Royale F1 ni mbegu fupi yenye uzao mkubwa sana,tamu na ina matunda yenye rangi nyekundu, inaweza kutumika kwa kuliwa […]

Read more >
Kitunguu

East-West imezalisha mbegu bora ya kitunguu yenye uwezo wa kukaa muda mrefu bila kuharibika na inayo hitajika sokoni. Meru super and Mars F1 zinajulikana sana na wakulima wanazikubali kwa ubora wake.Meru super imekuwa suluhisho kwa wakulima wengi wa kitunguu kutokana na uzaaji wake,uwezo wake wa ufanano na hufanya vizuri zaidi kwenye mazingira ya baridi.Mars F1 […]

Read more >
Nyanya

Katika historia ya mafanikio ambayo hujumlisha kuzalisha mbegu iliyo boreshwa yenye uwezo wa kuvumilia mnyauko wa bakteria,na uwezo wa kupambana na virusi vya manjano na kupata mavuno makubwa,nyanya chotara ni moja ya mafanikio ya East-West Seed ambayo yalianzia mnamo miaka ya 1980. East-West Seed imejikita katika masoko ya kawaida kwa mafanikio makubwa kwa kupitia aina […]

Read more >

Kikundi cha Mbegu za Mashariki-Magharibi

Kikundi cha Mbegu za Mashariki-Magharibi

East-West Seed ni kampuni inayoongoza ya mbegu za mboga za kitropiki barani Asia na inayopanuka kwa haraka barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa na dhamira ya kuboresha maisha ya wakulima kwa kutoa mbegu bora za mboga.

Discover EWS Group

Wasiliana na East-West Seed

East West Seed, Airport Dr- Tanzania.

Jiunge na orodha yetu ya barua pepe ya kila mwezi

Jiunge na orodha yetu ya barua pepe ya kila mwezi

Pata habari na taarifa za kisasa moja kwa moja kwenye kikasha chako cha barua pepe!