Tango

Tango

East-West Seed imeteka soko la Afrika kwa kuleta Tango lenye ukijani mzuri na refu.Greengo F1 na Monalisa F1 ni aina za matango zinazo julikana sana kwa wakulima wengi kwa sifa zake hasa za kukomaa mapema, kuwa na rangi nzuri ya kijani ya kuvutia na uwezo wake mzuri wa kutafunika.

East-West Seed inaendelea kuzingatia katika kuzalisha aina nzuri za mbegu ambazo huitajiwa na wakulima. Mazao yetu ya chotara yaliyopo yamezingatia utofauti wa uzalishaji wa wakulima.

Mazao mengine