Pilipili Kali

Pilipili Kali

East-West Seed ina zaidi ya miaka 25 katika uzalishaji wa mbegu za pilipili kali.Mchango mkubwa iliyofanya kwa wakulima wa Barani Asia ni kuleta mbegu bora ambazo ni rahisi kwenye uvunaji,na kuleta mbegu chotara za pilipili.Mbegu chotara aina ya Demon F1 ina uwezo wa kuzaa sana na inajulikana sana katika soko la Afrika.

Pilipili Kali ni muhimu katika mlo duniani kote huleta radha ya chakula.Katika kukuza soko letu la Afrika tunalenga katika aina za Chinese na Habanero ambazo ni maarufu sana Amerika ya kati na kusini. 

Mbegu zetu za chotara sina sifa kubwa ya ufanano na uwezo mkubwa wa kusafirishwa bila kuharibika na huzaa sana na matunda yake hupendwa sana sokoni.

Mazao mengine