Papai

Papai

East-west seed imeteka soko na mbegu chotara ambazo ni mbegu fupi na zenye uzao mkubwa na radha tamu.
Aina ya Red Royale F1, Sinta F1 na Maradona F1 ni nyota katika soko letu la Afrika.

Red Royale F1 ni mbegu fupi yenye uzao mkubwa sana,tamu na ina matunda yenye rangi nyekundu,inaweza kutumika kwa kuliwa kawaida au kutengenezea juisi.

Sinta F1 ni papai fupi lenye radha tamu na ukubwa mzuri ambayo tunda lake ni la rangi ya Njano.Maradona F1 inamatunda makubwa na radha tamu yenye tunda la rangi nyekundu ya kuvutia.

Mazao mengine