Kitunguu

Onion

East-West imezalisha mbegu bora ya kitunguu yenye uwezo wa kukaa muda mrefu bila kuharibika na inayo hitajika sokoni.

Meru super and Mars F1 zinajulikana sana na wakulima wanazikubali kwa ubora wake. Meru super imekuwa suluhisho kwa wakulima wengi wa kitunguu kutokana na uzaaji wake,uwezo wake wa ufanano na hufanya vizuri zaidi kwenye mazingira ya baridi.

Mars F1 imependwa sana na wakulima wetu kwa uwezo wake wa kuzaa sana na kuweza kakaa muda mrefu bila kuharika na kuwa na rangi inayo faa sokoni. 

Mazao mengine