Nyanya

Nyanya

Katika historia ya mafanikio ambayo hujumlisha kuzalisha mbegu iliyo boreshwa yenye uwezo wa kuvumilia mnyauko wa bakteria,na uwezo wa kupambana na virusi vya manjano na kupata mavuno makubwa,nyanya chotara ni moja ya mafanikio ya East-West Seed ambayo yalianzia mnamo miaka ya 1980.

East-West Seed imejikita katika masoko ya kawaida kwa mafanikio makubwa kwa kupitia aina zake nzuri za nyanya kama Imara F1 ambayo inauwezo wa kupambana na virusi vya manjano na Kipato F1 inaweza kuvumilia mnyauko wa kibakteria. 

Mazao mengine